Namna ya kulitazama Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea kwa mtazamo mpya. Bunge hili lisiwe sehemu tu ya kutukera wananchi au kutuchekesha ila liwe DARASA la kisiasa kwa watanzania.
NI rai yangu kwamba mjadala wa Bunge Maalumu la Katiba la Tanzania litufundishe siasa na wanasiasa. Tutazame tabia za wajumbe wa Bunge la Katiba... Tufuatilie maneno yao, vyama wanavyotoka, taasisi wanazotoka na tufuatilie na historia zao. Nimejaribu kufanya hivyo nimejifunza mambo makuu mawili:
1. Kuna watu wasio na uchungu wala uzalendo wowote na Taifa hili.
Hawa ni watu wanatazama maslahi yao, na pengine na vyama vyao. Ukiwasikiliza utaona ubinafsi mwingi unaosindikizwa na vijembe, matusi na maneno yasiyofaa. Hawana hoja nzito ila kelele. Na ukiwafuatilia wengi utaona wanaitikadi zinafanafana hivi. Fuatilia na wewe.
2. Kuna watu wenye uzalendo na uchungu wa Taifa hili la Tanzania
Hawa utaona wanatoa hoja zenye mashiko na zinazooneka kuwa na nia njema. na ukijaribu kufuatilia utaona ni kama wanaitikadi ambazo zina namna fulani ya kufananafanana. Utaona wakizomewa sana. Fuatilia na wewe...
BUNGE MAALUM LA KATIBA LIWE DARASA LA SIASA KWA WATANZANIA ILI TUJUE KUFANYA MAAMUZI SAHIHI TUNAPOPIGA KURA

0 comments:
Post a Comment