Watanzania tuna kazi kubwa sana kwa ajili ya Taifa letu. Ni wakati wa kuwajibika na si kukata tamaa japo mazingira yanatusukuma kukata tamaa. Tusimlaumu anayekosea, kama ni mwelewa tumsaidie la kama sivyo ni vema tuchukue hatua madhubuti kumshughulikia kwa mujibu wa sharia taratibu na kanuni stahiki.
Kila mmoja ajione kuwa ana deni na nchi hii nzuri yenye mali nyingi sana.
Kila mmoja ajione kuwa ana deni na nchi hii nzuri yenye mali nyingi sana.
0 comments:
Post a Comment